Sherehe ya harusi ya Jeremia na Aisha,ilikuwa furaha na bashasha kwa wageni waalikwa Waliohudhuria ukumbini Peacock hotel,kwani Walipata nafasi nzuri ya kufurahi na maharusi pamoja na burudani nzuri ya muziki toka Amazing Simon Entertainment (ASEN).Mshereheshaji (mc) Simon Mzungu aliongoza vizuri kwa ucheshi na vichekesho vya hapa na pale na kuvutia wageni waalikwa waliohudhuria kwa burudani nzuri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni