Ilikuwa ni furaha na bashasha wakati wa send off ya malkia 'Ashura
Hussein' ambayo ilifanyika ukumbi wa lukolo uliopo segerea mwisho,'mc Simon Mzungu' Nilipata nafasi ya kusherehesha katika usiku wa malkia
kuhakikisha mambo yanakwenda vizuri kwa burudani nzuri kauli mbiu 'Huduma bora ya nyota
tano daima' ilihusika sana Watu walifurahi sana kwa ucheshi wa mc na burudani nzuri ya nyimbo.Sherehe ilikuwa baab kubwa ambayo iliwahusisha ndugu&marafiki wa karibu wa
malkia Ashura.Tunamshukuru malkia Ashura kwa kutupa fursa ya kusherehesha sherehe ya send off yake Tunakutakia maisha mema ya ndoa Dada yetu wa kujivunia
.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni